Kipaji kipya Bongo Fleva Lizy Lee, hizi ndio ngoma zake tatu kali G Nako ndani (+ Video)

Msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva ambaye ni kipaji kipya kabisa Lizy Lee anawaomba Watanzania kumpa sapoti kwenye muziki wake hasa hizi ngoma zake tatu ambazo amezirekodi kwenye studio za Sgizo Music chini ya producer Ghost the Baddest na video ikifanywa mjini morogoro na director Otieno.

  1. Lizy Lee ft G Nako – Hatoki  ( Video)

 

2. Lizy Lee – Nigande ( Video)

 

3. Lizy Lee – Ndoa  ( Video)

Related Articles

Back to top button