Muziki

Kipaji kipya ndani ya muziki wa Bongo Fleva, Vay Money ft Mabantu ‘Kopa’ (+ Video)

Muziki wa Bongo Fleva umejaaliwa wasanii wengi na wenye vipaji vikubwa sana, kila mwaka muziki wetu inaingiza vipaji vipya kwa wasanii wa kiume na wasanii wa kike.

Vay Money ni mmoja ya wasanii wachanga wanaoingia kwenye muziki huu na anaomba sapoti ya Watanzania.

#KOPA ft @mabantuofficial OUT NOW 📺🎧🚀🔥☄️
@twaah_mabantu @muuh_mabantu @vay_money2
🥳
Vay money baybe🔥x C WANAPENDA KUBANG💃🕺
Out Now ON ALL DIGITAL PLATFORMS
Producer by @gachib 🎧
Directo by @majagiking 📺

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents