Burudani
Kipotoshi asimulia maisha ya Jela yalivyomtesa

Mchekeshaji @kipotoshi akiwa kwenye Podcast ya @B4TheFame na @el_mando_tz ametoa stori ambayo wengi hawaijui juu yake kipindi anajitafuta aliwahi kuingia Jela, hapa ndio anaelezea mkasa mzima ulipoanzia.
Kuangalia mahojiano kamili tembelea ukurasa wa Youtube Bongofive





