Michezo
Kisa Chama na Mkude Hans Rafael atoa ya Moyoni (Video)

“Jonas Mkude, Clatous Chama na Augustine Okrah kiufundi hawakutakiwa kusajiliwa Yanga, Nafikiri ni mambo ya siasa tu, lakini hakukuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wale.
Ukitazama position ya Chama pale Yanga walishaenea, wako kina Pacome, Aziz na Maxi, hawa walitosha kabisa na hakukuwa na kitu kinachomiss, Yanga walipawa kwenda juu zaidi ya wachezaji hawa ” mchambuzi Hans Rafael