Michezo

Kisugu aomba uchunguzi uanzwe dhidi ya Ali Kamwe (Video)

KISUGU AOMBA UCHUNGUZI UANZIE KWA ALI KAMWE

Shabiki nguli wa klabu ya Simba @mikoikisugu leo katika mahojiano na Bongo5 ameomba kuwa malalamiko yanayotolewa na Afisa habari wa klabu ya Yanga juu ya Waandishi na wanahabari kuwa uchunguzi uanzie kwake huenda yeye anajua zaidi ikawa njia rahisi ya watu kujua ukweli, Pia Kisugu ametangaza rasmi kwamba @mwalimu_yanga na @godyangakmr sio marafiki zake rasmi kutokana na sababu alizozitaja hapo, Pia ameongelea ubora na uwezo wa kipa Moussa Camara

Unampa asilimia ngapi Kisugu analoliongea juu ya Afisa Habari na Mawasiliano w Klabu ya Yanga Ali Kamwe??

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5

 

 

 

 

Imeandikwa na kuandaliwa na @johnbosco_mbanga & @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents