Michezo
Kisugu apagawa na Ateba uwezo wa Ahoua, Mpanzu atakuja kuongeza vilio (Video)
Shabiki Nguli wa klabu ya Simba @mikoikisugu leo katika mahojiano na Bongo5 amewatambia wapinzani wao juu ya Usajili mpya wa Winga Elie Mpanzu kutokea AS Vita na anaamini kuwa usajili huo ndiyo utakaowapa Ubingwa wa Shirikisho pia Kisugu ameongelea ubora wa mchezaji wao mpya Leonel Ateba na kudai kuwa huyo ndiye mfungaji bora wa Msimu huu, na leo Kisugu ameomba mamlaka husika zisiweke VAR kwani Tanzania kwenye Ligi hii tunaweza kuwatumia @Jimmykindoki, @mwalimu_Yanga pamoja na @godyangakmr kama VAR Zetu na wanatosha
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongo5