Michezo

Kisugu atema cheche ujio wa Mpanzu (Video)

KISUGU ATAMBA KWA UJIO WA ELIE MPANZU

Shabiki Nguli wa klabu ya Simba @mikoikisugu leo katika mahojiano na Bongo5 amewatambia wapinzani wao juu ya Usajili mpya wa Winga Elie Mpanzu kutokea AS Vita na anaamini kuwa usajili huo ndiyo utakaowapa Ubingwa wa Shirikisho pia Kisugu ameongelea ubora wa mchezaji wao mpya Leonel Ateba na kudai kuwa huyo ndiye mfungaji bora wa Msimu huu, na leo Kisugu ameomba mamlaka husika zisiweke VAR kwani Tanzania kwenye Ligi hii tunaweza kuwatumia @Jimmykindoki, @mwalimu_Yanga pamoja na @godyangakmr kama VAR Zetu na wanatosha

Wanasimba mnamsikia Kisugu lakini??

Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5

 

 

Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga & @samirkakaa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents