Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Kizz Daniel alitaka GUCCI original nyeusi full na viatu vyeupe, alikataa mpaka cheni za Harmonize – Mwijaku

Mtangazaji huyo wa Clouds Media amethibitisha kuwa staa huyo wa muziki kutoka nchini Nigeria yupo nyumbani kwa Harmonize na huenda wakarekodi Buga remix.

Mbali na hilo Mwijaku ameweka wazi kuwa Harmonize ndiye aliyempelekea nguo Kizz Daniel hoteli ila alizikataa na kusema hawezi kuvaa pia cheni alikataa na baadaye Harmonize kumletea designer na kuzikataa nguo zao.

Mbali n ahilo Kizz Daniel alitaka GUCCI orijino.

Related Articles

Back to top button