Michezo
Klabu ya Hispania yagonga hodi kwa Ahoua

UPDATE: JEAN CHARLES AHOUA
– Klabu ya Almeria SC imetuma ofa katika Menejimenti ya Kiungo wa Simba SC, Jean Charles Ahoua ili kupata huduma yake kuelekea msimu ujao
– Almeria SC inashiriki Ligi daraja la pili Spain, Menejimenti ya Ahoua inalifanyia kazi hilo haraka sana.