Kocha asahau jina la Yanga na kuwataja Simba SC, msaidizi amkumbusha (+Video)

Kocha mpya wa klabu ya Yanga amesahau kulitaja jina la Yanga katika mazungumzo yake na badala yake kulitaja jina la Simba SC kisha kuomba radhi baada ya kukumbushwa kuwa ni Yanga mbele ya Waandandishi wa habari.

Related Articles

Back to top button