Michezo

Kocha msaidizi wa Simba B, Mussa Hassani Mgosi awaahidi mashabiki wa timu hiyo kurudi na Kombe la Mapinduzi Cup, wakitarajia kukutana na Azam kwenye fainali (+ Video)

Baada ya klabu ya Simba kufanikiwa kufuzu hatua ya fainali baada ya ushindi wake kwenye changamoto za mikwaju ya penati.

ambayo ilitokea baada ya timu hizo kutoka sare ya bila kufungana katika muda wa kawaida wa dakika 90 dhidi ya Malindi Fc kutoka visiwani Zanzibar.

Kocha msaidizi wa Simba B, ambaye pia alikuwa mchezaji wa zamani wa Simba Mussa Hassani Mgosi amewaahidi mashabikiwa timu hiyo kurudi na kombe bara.

Ikumbukwe Azam ndio walikuwa mabingwa wa kombe hilo la Mapinduzi cup msimu uliopita, Kocha huyo anatoa tamko hilo baada ya watu kuongea na kusema kuwa Simba B ambayo itakutana na Azam kwenye mchezo wa fainali siku ya tarehe 13 licha ya Simba A kukutana na timu kutoka Algeria katika mchezo wa Klabu bingwa barani Afrika jumamosi hii.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents