Kocha Nabi awapiga mkwara mastaa wa timu hiyo wasiokuwa na nidhamu na kuwaambia kuwa ‘Hata awe Staa wa namna gani, anayepita hangani’ kwake hatamuogoba na kuwataka mashabiki wakae na kulijua hilo kuhusu nyota wanaowapenda.