HabariMichezo

Kocha Roberto Martinez wa Ubelgiji ang’atuka

Roberto Martinez amethibitisha kuwa sio kocha tena wa timu ya taifa ya Ubelgiji baada ya kuchaga mashindano ya Kombe la Dunia Qatar.

Ubelgiji imetolewa kwenye mashindano hayo baada ya sare 0-0 dhidi ya Croatia.

Morocco imeongoza kundi hilo la F ikiwa na point 7 wakati nafasi pili Croatia wakiwa na alama 5 na Ubelgiji 4 nafasi ya tatu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents