Michezo
Kocha wa Yanga ajiunga na FAR RABAT

➡️ Kocha wa Magolikipa wa Yanga 🇹🇿 Alaa Meskini 🇲🇦 amejiunga na FAR RABAT
➡️ Baada ya kupata matatizo ya kufiwa na baba yake mzazi, ameamua kurudi Morocco 🇲🇦 ili awe jirani na familia
✅ Tayari ameondoka DSM na vitu vyake vyote
⏳ Official Announcement, soon