BurudaniHabari

Koffi Olomide alivyotua Tanzania na ‘swaga’ za jeje (Video)

Msanii wa muziki wa Congo @koffiolomide_officiel ametua nchini mapema leo asubuhi kwaajili ya Tamasha ambalo litafanyika Mlimani City Dar Es Salaam.

Mkongwe huyo wa rhumba amedai aliongea na waandaji wa tamasha hilo kupunguza bei za viingilio ili kila Mtanzania apate fursa ya kupata burudani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents