HabariMichezo

Kombe la Ligi Kuu kubadilishwa

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kwa kushirikiana na Mdhamini Mkuu wa Ligi Kuu Tanzania, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), wanatarajia kutambulisha kombe jipya la Ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC, kesho Jumatano Juni 7, 2023.

Mabadiliko hayo ni baada ya kupokea maoni kutoka kwa wadau mbalimbali wa mpira wa miguu kuhusu muonekano wa Kikombe kilichotangazwa msimu uliopita.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents