HabariMichezo

Kramo anaweza kufanyiwa Operation

Kwamujibu wa Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmedy Ally amesema kiungo wao raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo ambaye aliumia katika mechi kirafiki dhidi ya Ngome FC wadaktari wapo kwenye hatua ya mwisho hili kufaham kama Kramo anatakiwa kutibiwa kwa kufanyiwa operation au kutibiwa kawaida.

Kramo anasumbuliwa na jeraha la goti ambalo kuanza kwa msimu huu aliumia na baadae kuumia kwenye mchezo wa kirafiki na Ngome mpaka sasa ajacheza mchezo wowote rasmi wa mashindano Tangu asajiliwe msimu huu.

“Tunasubiri majibu ya mwisho kutoka kwa madktari hili watuambie Aubin Kramo atafanyiwa operation au atatibiwa kwa kawaida hili kujue anaweza kuwa nje kwa muda gani kwaajili ya kutibia jeraha lake” Meneja wa habari na Mawasiliano Ahmed Ally

By Issaya Dede

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents