HabariMichezo

Kubaki ‘top four’ ni sawa na kuchukua Ubingwa- Erik ten Hag

Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag amedai kuwa kumaliza ndani ya nne bora ya Premier leaguer ni sawa na kuchukua kombe.

Ten Hag ameyasema hayo baada ya kuiongoza Man United kuingia ‘top four’ usiku wajana kwa kuifunga Chelsea magoli 4-1.

“Hii Klabu kushiriki Champions League haikuwa rahisi, Premier League imekuwa na ushindani mkubwa.”

Kwa kuwa na Carabao Cup mkononi huku bado uko kwenye mbio za FA Cup hayo ni mafanikio kwa msimu ameongeza Ten Hag.
Credit by @fumo255

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents