Kutana na Infinix S4, Simu yenye kamera tatu nyuma na bora zaidi duniani kwa mwaka 2019 (+video)
Kampuni ya simu ya Infinix inayozalisha simu zenye teknolojia ya hali ya juu, imezindua simu mpya aina ya Infinix S4 yenye megapixel 32 AI selfie kwajili ya kuwawezesha watanzania kufikia ndoto zao kupitia matumizi ya teknolojia.
Kwa ushirikiano wa TIGO na Infinix, Infinix S4 itapatikana katika maduka ya Infinix na TIGO ikiwa na ofa ya bundle la miezi sita. Infinix na Tigo zimeungana katika uzinduzi wa Infinix S4 kuhakikisha wateja na Watanzania kwa ujumla wanaingia katika mapinduzi ya simu zenye selfie bora, ambayo sio tu itainua ujuzi na maarifa ya selfie lakini pia itasaidia kuwasogeza katika ulimwengu wa kidigitali.
Akizungumza wakati wa uzinduzi Mkurugezi mtendaji wa kampuni ya simu ya Infinix Bwana. Hauson Tu,alisema kwamba, “Uwezeshaji kupitia teknolojia ya simu unategemeana na uhakika wa sifa ya simu kama vile kamera ya nyuma, mwonekano mzuri wa screen ya simu, uwezo wa betri na kasi ya simu yenyewe. Kwa kulizingatia hilo Infinix S4 imeundwa ikiwa na kamera tatu za nyuma 13MP+8MP+2MP na kioo cha nchi 6.2’ waterdrop display screen kwaajili ya picha bora. Kamera hizi tatu zenye kufanya kazi tatu tofauti ikiwemo kuhakikisha picha inaonekana kwa kina zaidi, hata kwa umbali wa 120º”.
Bwana Tu, “alisisitiza kuhusu umuhimu wa Betri yenye nguvu inayodumu na chaji zaidi akisema, “Infinix haijawahi kuwaangusha wateja wake katika suala la betri. S4 ina Smart power management system kwaajili ya kuzuia matumizi ya chaji kwa application ambazo hazitumiki kwa muda huo na betri hutumika pale tu ambapo application hiyo itakuwa katika matumizi”.
Na kwa upande wake afisa mahusiano wa kampuni ya Tigo Bwana Tarik Boudiaf alisema “Kasi ya mtandao ni muhimu sana katika kumwezesha Mtanzania, ikiwa ni lengo mojawapo kwa kampuni ya Tigo kuhakikisha wateja na Watanzania kwa ujumla wanahamia katika ulimwengu wa kidigitali kama kampuni tumetoa ofa ya bundle la internet la muda wa miezi sita”.
Kampuni ya simu ya Infinix imekuwa ikiwalenga zaidi vijana na watu wenye ushawishi katika maendeleo ya teknolojia, hii imepelekea uzinduzi wa Infinix S4 kuhudhuriwa na wasanii maaruufu kama Lulu Diva, Mimi Mars, BDozen pamoja na vyombo vya habari maarufu.
Infinix S4 kwa sasa inapatikana katika maduka yote ya Infinix na TIGO Nchini kote.
Tazama sifa za Infinix S4 hapa chini na bei yake.
-
CPU: Quad-core 2.2 GHz Cortex-A53
-
RAM: 3 GB
-
Storage: 32 GB
-
Display: IPS LCD, 6.22 inches
-
Camera: Triple 13 MP, 8 MP, 2 MP
-
OS: Android 9.0 (Pie)
INFINIX S4 – SPECS
GENERAL
-
Device TypeBar
-
ModelHot S4
-
Announced2019, April
-
Released2019, April
-
StatusAvailable
DESIGN
-
TypeBar
-
Dimensions156.5 x 76 x 5.6 mm (6.16 x 2.99 x 0.22 in)
-
Weight150 g (5.29 oz)
-
ColorsMidnight black, Aqua Blue, Nebula Black
NETWORK
-
2G NetworkGSM 850 / 900 / 1800 / 1900 – SIM 1 & SIM 2
-
3G NetworkHSDPA 850 / 900 / 1800 / 1900 / 2100
-
4G NetworkLTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 20(800), 28(700), 40(2300)
-
SIMNano SIM
-
Dual SIMYes, Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)
DISPLAY
-
Display TypeIPS LCD
-
Size6.22 inches, 96.7 cm2 (~81.3% screen-to-body ratio)
-
Resolution720 x 1520 pixels
-
Display Colors16M Colors
-
Pixel Density294 ppi density
-
Touch ScreenYes, Capacitive Touchscreen
-
Display ProtectionCorning Gorilla Glass (unspecified version)
MEDIA
-
FM RadioNo
-
Earphone JackYes
CAMERA
-
Camera SetTriple Cameras
-
Main Camera13MP f/2.0 aperture
-
2nd Camera8 MP
-
3rd Camera2 MP, f/2.0 wide-angle
-
Camera Video1080p@30fps
-
FeaturesHDR, Panorama
-
FlashQuad-LED flash
-
Selfie SetSingle Camera
-
Selfie Camera32 MP, f/2.0
-
Selfie Video1080p@30fps
-
FeaturesHDR
SOFTWARE
-
OSAndroid 9.0 (Pie)
-
User InterfaceXOS v5.0
HARDWARE
-
ChipsetMediatek’s Helio P22 SoC
-
CPUQuad-core 2.2 GHz Cortex-A53
-
GPUPowerVR GE8320
-
RAM3 GB
-
Internal Storage32 GB
-
Card SlotYes, microSD, up to 128 GB (dedicated slot)
-
SensorsFingerprint (rear-mounted), accelerometer, proximity, compass
CONNECTIVITY
-
BluetoothBluetooth 5.0 A2DP
-
Wi-fiWi-Fi 802.11 a/b/g/n, Wi-Fi Direct
-
Wi-fi Hotspot
-
USBmicroUSB 2.0
-
GPSYes, with A-GPS
-
NFC
-
HDMI
DATA
-
GPRS
-
EDGE
-
SpeedHSPA 42.2/5.76 Mbps, LTE Cat4 150/50 Mbps
BATTERY
-
Battery TypeLi-Poly (Lithium Polymer)
-
Capacity4000 mAh battery
-
PlacementNon-removable
-
Standby–
-
Talk Time–
-
Music Play–