Technology

Kutana na Phantom 9, Simu janja ya kwanza kutoka Tecno yenye kamera 3 na sifa nyingine za kipekee

Kwasasa ukitaja kati ya matoleo mapya ya simu za mkononi, Toleo la Tecno Phantom 9 ndio simu bora zaidi kwa mwaka huu na kinachoifanya simu hii kuwa bora ni kutokana na sifa zake za kipekee ikiwemo kuwa na kamera 3 za nyuma na ukubwa wa ndani wa Gb 128.

 

Phantom 9 pia imekuja na ulinzi wa aina nne ikiwemo FingerPrint ambayo imewekwa ndani ya kioo, Jambo ambalo limeifanya simu hiyo kuwa na muonekano wa kipekee zaidi.

Kuhusu wale wapenzi wa Kamera, Ukumbwa wa kamera tatu za nyuma ni zina MEGA PIXELS 16, 8 yenye f/2.4, 13mm (ultrawide)
na MP 2 zenye f/2.8, depth sensor.

Sifa za kamera zote tatu zinatofautiana hii ni kwaajili ya kutoa picha nzuri na yenye ubora kuendana na mazoingira ya aina yoyote, Ukiwa na Phantom 9 utakuwa na uwezo wa kupiga picha mahali popote hata kwenye giza.

Kuhusu ukubwa wa ndani (ROM) kama nilivbyokwambia inakuja na GB 128 na ina RAM ya GB 6 inayokufanya ufanye kazi kiurahisi ukiwa na simu yako. Kwa wale wanaopenda kuedit video kupitia simu, Hii simu inafaa kabisa kufanya kazi hiyo.

Kuhusu chaji, Hii simu imekuja na betry ya ukubwa wa mAh 3500 zitakazokufanya utumie kwa muda mrefu bila kukata chaji mapema.

Je, Simu hii inapatikana Tanzania na inauzwa bei gani?

Jibu NDIO, Simu hii inapatikana Tanzania kwenye maduka yote ya Tecno na baadhi ya maduka ya mitandao ya simu za mkononi, Kuhusu bei inategemeana na duka lakini ni kati ya  Tsh  500,000 hadi 600,000 .

NETWORK Technology
GSM / HSPA / LTE

BODY Dimensions 158.5 x 75.3 x 7.9 mm (6.24 x 2.96 x 0.31 in)
Weight 164.4 g (5.78 oz).

SIM Dual SIM (Nano-SIM, dual stand-by)
DISPLAY Type AMOLED capacitive touchscreen, 16M colors
Size 6.39 inches, 100.2 cm2 (~84.0% screen-to-body ratio)
Resolution 1080 x 2340 pixels, 19.5:9 ratio (~403 ppi density)
Protection Corning Gorilla Glass 3.

PLATFORM OS Android 9.0 (Pie)
Chipset Mediatek MT6765 Helio P35 (12nm)
CPU Octa-core (4×2.3 GHz Cortex-A53 & 4×1.8 GHz Cortex-A53)
GPU PowerVR GE8320.

MEMORY Card slot microSD, up to 1 TB (dedicated slot)
Internal 128 GB, 6 GB RAM.

MAIN CAMERA Triple 16 MP, f/1.8, PDAF
8 MP, f/2.4, 13mm (ultrawide)
2 MP, f/2.8, depth sensor
Features LED flash, HDR, panorama
Video 1080p@30fps.

SELFIE CAMERA Single 32 MP, f/2.0
Features HDR
Video 1080p@30fps
SOUND Loudspeaker Yes
3.5mm jack Yes.

COMMS WLAN Wi-Fi 802.11 a/b/g/n/ac, dual-band, Wi-Fi Direct, hotspot
Bluetooth 5.0, A2DP, LE.

GPS Yes, with A-GPS
Radio FM radio
USB microUSB 2.0, USB On-The-Go.

FEATURES Sensors Fingerprint (under display), accelerometer, gyro, proximity, compass
BATTERY Non-removable Li-Ion 3500 mAh battery
MISC Colors Lapland Aurora.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents