Tia Kitu. Pata Vituuz!

Kutana na wabunifu wa mfumo wa kunawa mikono bila kushika sabuni wala bomba la maji (Video)

Bongo5TV wiki hii iliwatembelea vijana wanaounda kampuni ya ubunifu @taifa_innovations ambayo hivi karibuni wamekuwa maarufu baada ya mfumo wao wa kunawa mikono bila kushika sabuni wala bomba kuonekana kupendwa na watu wengi.

Vijana hao wamesema toka waonane na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe @jokatemwegelo na kuupost mfumo huo mtandaoni oda zimekuwa nyingi mpaka wamezidiwa uwezo. “Kwasasa tuna watu zaidi ya 30 wanataka mzigo kila siku, na kila mfumo mmoja tunauza tsh 150000 na changamoto ipo kwenye material, vitu vimepanda sana bei, sasa tunashindwa kununua material kwa wingi kutokana na mtaji wetu, tunaomba wadau wajitokeze kutusupport kwa sabubu sisi tunafanya huduma ya kuhakikisha watu wanakuwa salama”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW