BurudaniVideos

Video: Kutembea peku ni matusi – Mrisho Mpoto

Msanii wa muziki wa asili @mrishompoto alikuwa mmoja kati wasanii waliohudhuria tukio la tuzo za wasanii wakongwe wa Tanzania ambazo zilikuwa zinatolewa na TBC.

 

Msanii huyo akiwa anahojiwa walifunguka vitu mbalimbali pamoja suala lake la kutovaa viatu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents