Kwa kitendo hiki Morrison apewa onyo kali na Bodi ya Ligi

Mchezaji wa klabu ya Simba, Bernard Morrison amepewa onyo kali na Kamati ya Maadili kwa kitendo chake cha kumvuta mwamuzi msaidizi namba moja kwenye mchezo wao dhidi ya Mwadui FC. Kamati imemtaka kutorudia tena vitendo vya aina hiyo.

Related Articles

Back to top button