Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamuMuzikiUmbeaVideosWema Sepetu
Kwa P Diddy ukifika unapewa kila unachotaka upagawe – Lukamba (Video)

@lukambaofficial wakati akipiga story na @el_mando_tz ameeleza namna treatment unazopewa ukifika kwa P Diddy.
Anasema kuwa unapewa kila kitu ili upagawe kwanza.
Mahojiano yote yapo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.
Cameraman & Editor @samirkakaa