Habari

Kwanini Wakazi anawakosoa sana Diamond na Zuchu(Video)

RECAP: Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amelizungumzia sakata la Wakazi na Zuchu la kubishana mitandaoni.

Anasema Sakati hilo limeibua mashabiki wengi wakiamini Wakazi huenda anaichukia lebo ya WCB kwa sababu mara nyingi humponda Diamond na sasa amehamia kwa Zuchu.

Anaongeza kuwa maisha ya muziki yana nyakati na huu ni wakati wa Zuchu kimuziki, ukweli ni kwamba Zuchu ndio msanii bora kwa sasa.

Anaongeza Wakazi anasema Sukari ya Zuchu ni nyimbo ya kitoto lakini kwa upande wa wasanii wa kike huenda ndio una numbers nyingi zaidi.

Msikilize @el_mando_tz kisha toa maoni yako hapa chini.

Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents