Lamata: Tamthilia yangu ya Juakali imeshinda tuzo nyingi, nilidharauliwa sana ( +Video)

Muandaaji huyo wa Tamthilia ya #Juakali Lamata ameweka wazi kuwa yeye na #Menina hawana tofauti kama watu walivyokuwa wakidai. Latama pia amesema kuwa kufanya kazi nzuri ni kutokana na muongozo wa Marehemu Ruge ndio alimlea na kumfunza.

Related Articles

Back to top button