Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Lamatta: Ma-director wa Tanzania wanafanya kazi kwa kuangalia pesa zaidi ya ubora wa kazi

Siku ya leo imefanyika Audiotion kwa vijana kupitia kampuni ya film ya Halisi iliyopo chini ya Director Isike.

Akiongea na wanahabari Isike amesema kuwa kutokana na waigizaji alikuwa anawatafuta alihisi watajitokeza vijana kama 100 badala yake wamekuja takribani vijana zaidi ta 300.

Mbali na hilo majaji kama @dorahofficial na #Lamatta wametoa maoni yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents