Bongo MovieBongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano
Lamatta: Bongo movie bado tuna kazi kubwa ya kufanya
Siku ya leo imefanyika Audiotion kwa vijana kupitia kampuni ya film ya Halisi iliyopo chini ya Director Isike.
Akiongea na wanahabari Isike amesema kuwa kutokana na waigizaji alikuwa anawatafuta alihisi watajitokeza vijana kama 100 badala yake wamekuja takribani vijana zaidi ta 300.
Mbali na hilo majaji kama @dorahofficial na #Lamatta wametoa maoni yao.