Lameck Ditto awa baba, apata mtoto wa kiume

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo, Lameck Ditto amekuwa baba.

Ditto

Ditto amepata mtoto wa kiume aliyezaliwa jana usiku katika hospitali ya Sanitas ya Mikocheni jijini Dar es Salaam.

“Nimefuhi sana yaani siwezi kuelezea furaha niliyo nayo kwasasa, ila namshukuru sana Mungu, Mama na mtoto wanaendelea vizuri,” ameiambia Bongo5.

Ditto amesema mwanae anaitwa Lameck.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button