Burudani
Lavalava kuondoka Wcb? Babalevo atangaza

Safari Njema Mdogo Wangu ๐๐๐
Una Kipaji Kikubwa Sanaย @iamlavalava
Na Watanzania Watakuwa Mashahidi Kwa Namna Ambavyo Mzee Wangu LUKUGA Alikipigania Kipaji Chako Kibadilike Kuwa PESA Kafanya Kila Namna Ikiwemo Kushirikiana Na Wewe Kwenye Nyimbo Nyingi Mnoโฆ!!
UMEKUWA SASA NI VYEMA KUJITEGEMEA ILI KUWAPA NAFASI WADOGO ZAKO WENGINE..!!






