Lazararo Nyalandu: Nataka kuwaambia wana CHADEMA Siasa sio matusi, siasa sio maneno machafu pelekeni hoja (+ Video)

Wenye moyo wa kujitoa. Ita mkutano hapa watatembea hata kwa miguu waje. Ile nia ya kutaka mageuzi na maendeleo ni halisi. “Nawataka tu kuwaambia wana CHADEMA siasa sio matusi, siasa sio maneno machafu. Wapeleke tu hoja” MwanaCCM,

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/p/COZ2x6ZB-yt/

Related Articles

Back to top button