Lebo ya muziki ya @kingsmusicrecords iliyopo chini ya @officialalikiba wametambulisha msanii mpya.
Msanii aliyetambilishwa @kingsmusicrecords ni @vanillahmusic
@vanillahmusic ni mmoja ya wasanii waliohusika katika uandishi wa ngoma UTU ya @officialalikiba na baadhi ya ngoma kwenye album ya @officialalikiba