Bongo5 ExclusivesBurudaniHabari

Lebo za Konde Gang, Next Level na African Princes zimeshuka (Video)

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz leo amzungumzia namna lebo za muziki Tanzania zinavyoanza kukosa nguvu.

Anasema mwanzoni wakati zinaanzishwa zilikuja kwa nguvu nzuri na zilichangamsha game ya Bongo Fleva kutokana na ushindani wa wasanii husika.

Lakini kadri siku zinavyoenda baadhi ya lebo zinakosa nguvu kabisa na huenda ni kutokana na uwekezaji kukosekana kwenye hizo lebo.

Ukiangalia hata wasanii waliopo kwenye lebo hizo huoni ukuaji wao kimuziki, huoni mabadililo na huoni future zao.

Unahisi kitu gani kifanyike ili kuzirudisha lebo kwenye nguvu tena?? Je walifungua lebo kwa sifa??

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents