Michezo
Leo ndio leo hukumu ya Simba Kimataifa, Mashabiki wazidi kuingia Uwanjani
Ikiwa leo ni siku ya mchezo baina ya Simba dhidi ya Nsingizini kutoka nchini Eswatini mashabiki na wadau mbalimbali wa soka wamewasili katika viunga vya Uwanja wa Taifa nchini Tanzania.
Ikumbukwe Simba mpaka sasa tayari yupo mguu mmoja ndani huku matokeo ya aina yoyote yale isipokuwa kufungwa zaidi ya goli 3-0 yatamfanya afuzu kwenda hatua ya makundi.
kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa Youtube Bongofive
Imeandikwa na kuandaliwa @johnboscombang






