
LEONARDO AGOMA KUONDOKA KWA KAKA YAKE KISA MANCHESTER UNITED NA LIVERPOOL 😂😂
Wikendi hii ya tarehe mosi mwezi wa tisa usikubali kukaa mbali na TV yako.
Mashetani Wekundi wana hali mbaya lakini wanawakaribisha Majogoo Liverpool pale katika Uwanja wa Old Trafford.
Salah anaenda kukutana na wateja wake maana ndio mchezaji pekee aliyoifunga Manchester United magoli mengi zaidi, karibu kila mchezo wakikutana lazima afunge.
Manchester United wana kidonda maana mechi iliyoputa walichapika kwa Brighton lakini Liverpool wanashinda mchezo wa pili mfululizo.
Nani kuibuka mshindi??
Match zote zipo kwenye kifurushi cha Compact kwenye Chaneli namba 223 ndani ya @dstvtanzania
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.
https://www.instagram.com/reel/C_KqRUHNL56/