Burudani
Leonardo atoboa siri kushirikiana na Harmonize na Diamond

Akizungumza na Bongo5 tv Mchekeshaji @laughs_on_leonardo ameeleza namna anavyoshirikiana na mastaa wakubwa akiwemo @diamondplatnumz pamoja na @harmonize_tz ikiwemo kupewa dili nono la mamilioni
Mbali na hilo Leonardo amegusia kuhusu tuzo za wachekeshaji zinazokwenda kufanyika hivi karibuni @tanzaniacomedyawards
Video nzima katika akaunti yetu ya youtube ya Bongo5
Written and edited by #abbrah255 Shot @Johnbosco_mbanga