Ligi kuu Uingereza yaruhusu kufanyika mabadilika ya wachezaji 5 katika mchezo mmoja

Ikiwa ligi kuu Uingereza inatarajiwa kurejea juni 17, vilabu vya  ‘Premier League’ vitaruhusiwa kufanya mabadiliko katika mchezo mmoja hadi wachezaji 5 katika mchezo husika hadi pale yatakapofanyiwa marekebisho tena.

Related Articles

Back to top button