Ligi ya Tanzania nafasi ya 8 Afrika kwa Ubora, dunaini 71

Kutoakana na Takwimu zilizotolewa na IFFHS zinaonyesha kuwa ligi kuu Tanzania inashika nafasi ya 8 kwa ubora barani Afrika huku Duniani ikishikilia nafasi ya 71.

Katika ligi hizo bora 10 Afrika Tanzania inawakilisha mataifa yote Afrika Mashariki na pia ikiwapiga chini Nigeria ambao wanashika nafasi ya 10 kwa ubora.

Related Articles

Back to top button
Close