Michezo

Ligi ya Tanzania yakimbiza kwa mkwanja Afrika

Ligi Kuu ya Tanzania Nbc Premiere League inazidi kukuwa kwa kasi katika Nyanja tofauti tofauti, hii ni kutokana na aina ya uwekezaji unaofanywa kwa sasa katika ligi hiyo.

Kwa sasa Ligi Kuu ya Tanzania imekuwa Ligi ya 5 Afrika kwa kukamata Mkwanja mrefu, orodha ya Ligi 10 bora kwa kukamata mkwanja mrefu ni;

1.Afrika Kusini- $796,000(TZS Billion 1.96).

2.Morocco – $598,000(TZS Billion 1.52).

3.Misri- $500,000(TZS Billion 1.27).

4.Tunisia-$300,000(TZS Million 764).

5.Tanzania-$236,000(TZS Million 600).

6.Ethiopia-$192,400(TZS Million 490).

7.Nigeria-$103,500(TZS Million 263).

8.Algeria-$100,000(TZS Million 255).

9.Cameroon-$82,000(TZS Million 208).

10.Botswana- $54,630 (TZS Million 139).

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents