BurudaniHabariMahojiano

Lilian Mwasha afunguka kuhusu kuondoka Wasafi media kuhamia Efm

Baada ya Mtangazaji wa kipindi cha dini @lillianmwasha_ kuweka wazi kuwa ameondoka Wasafi media na kujiunga na Efm alikutana na @el_mando_tz na kullizwa kuhusu hilo.

@lillianmwasha_ ameondoka na @mkandamizaji wote wameanzisha kipindi kipya Efm na wamemchukua Mchungaji @hananja.r atajiunga nao.

@lillianmwasha_ amezungumza hilo wakati anazindua kitabu chake cha Darling Listen.

Mbali na hilo @majizzo amethibitisha hilo mbele ya Waziri @nape_nnauye

Interview nzima ipo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive.

Written and edited by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents