Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabariMuziki

Linex ageukiwa muziki wa Injili? atangaza kuachia EP

Linex Sunday Mjeda ni miongoni mwa wasanii ambao watu wengi wamezoea kuwaona kwenye upande mmoja wa muziki wa Bongo Fleva tu.

Lakini mkali huyo @linexsundaymjeda ni miongoni mwa wasanii waliojaliwa kipaji kikubwa sana cha kufanya chochote kwenye muziki ikimaanisha kuimba aina yoyote ya muziki.

Hapa wikii hii inayoanza ataachia EP yake ya muziki wa Injili ya MY SIDE B.

Akiongea na Bongofive @linexsundaymjeda ameeleza kuwa EP hiyo itakuwa na ngoma nne na lengo la kuachia EP ya muziki wa Injili ni kuwaonyesha watu kuwa yeye amelelewa kwenye familia ya dini na pia kutoa heshima zake kwenye muziki huo.

Masikio yako yawe tayari muda wowote EP itakuwa hewani.#Bongo5Updates

Related Articles

Back to top button