Michezo

Lingard, Cavani katika rada za Barcelona

Barcelona wanahangaika kwa ajili ya kuwasaka wachezaji watakaoimarisha safu yao ya ushambulizi mwezi Januari na wanaangalia  uwezekano wa kuwasajili wachezaji  wa Manchester United, Jesse Lingard mwenye umri wa miaka 28, na mshambuliaji wa Uruguay mwenye umri wa miaka 34 Edinson Cavani. (Mundo Deportivo, via the Sun)

Manchester United mwenye umri wa miaka 28 kutoka Jesse Lingard

Klabu anayotaka kuhamia mshambuliaji wa Norway Erling Braut Haaland iwapo ataondoka Borussia Dortmund mwaka ujao Real Madrid, inagawa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 bado hajafanya maamuzi kuhusu hali yake ya baadaye. (Goal)

Aston Villa wataipa kipaumbele hatua ya kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma mwenye Januari huku meneja Steven Gerrard akiangalia jinsia ya kumarisha safu hiyoside. (Football Insider)

Kiungo wa kati wa Leeds United na England Kalvin Phillips, 25, atakataa uhamisho wa kuhamia katika klabu hasimu ya Manchester United msimu ujao ili kuendelea kubakia katika klabu yake iliyopo Elland Road. (Star)

Mshambuliaji wa klabu ya Fulham Mserbia Aleksandar Mitrovic, 27, ameandaliwa kwa ajili ya kufanya ujhamisho ambao umekuwa ndoto yake kuelekea Juventus. (Tuttosport, via the Sun)Ralf Rangnick

Manchester United pia wanakaribia kabisa kumteua Ralf Rangnick kama meneja wa mpito hadi mwishoni mwa msimu na Ujerumani itahusika katika mchakato wa kumchagua mrithi wake katika Old Trafford. (Star)

Aston Villa wataipa kipaumbele hatua ya kusaini mkataba na kiungo wa kati-nyuma mwenye Januari huku meneja Steven Gerrard akiangalia jinsia ya kumarisha safu hiyoside. (Football Insider)Mshambuliaji wa Manchester City Ferran Torres

Mshambuliaji wa Manchester City

Mshambuliaji wa Manchester City Ferran Torres analengwa na Barcelona na klabu hiyo ya Nou Camp tayari imekubali mkataba na mchezaji huyo wa kimataifa wa Uhispania mwenye umri wa miaka 21, lakini bado hajafikia makubaliano na klabu hiyo ya Primia Ligi . (Marca)

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents