HabariMichezo

#LIVE: CRDB wainogesha Simba Day (+Video)

“Tunafahamu tunakwenda kwenye Simba Day, ni siku muhimu kwa Wanamichezo. Hata asiyecheza mpira ana furaha ya kuwaona wachezaji pale.”

“Nataka niwambie Wanasimba kwamba walipo tupo, lakini pia tuko tayari.”

“Ni muda mzuri wa kushirikiana, hii siku ya Simba Day lazima iwe ni siku ya bashasha. Hii ni kuonyesha mshikamano na utayari kwenye michezo. Tutashirikiana sio hili tu.”

“Tumeona lazima tuwe wadau wa siku hiyo kwa kuwezesha kwa kuwa wadhamini ili kamati ya maandalizi ikamilishe malengo ya mipango ya siku hiyo. Na huo ni mwanzo tu.”- Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Abdulmajid Nsekela.

Related Articles

Back to top button