Michezo
#LIVE: Dullah Mbabe anazungumza ”Mpinzani wangu nilibadilishiwa ndani ya siku 3”
Bondia Dullah Mbabe amefunguka mambo kadhaa ambayo yamechangia kup[oteza pambano lake wikiend iliyopita dhidi ya Tshimanga Katompa kutoka DR Congo.
Kuangalia video bofya HAPA