HabariMichezo

#LIVE: Makolo wameniroga, sifi kizembe – Manara (+Video)

Msemaji wa Klabu ya Yanga ameonekana kama vile ametupa dongo kizani kwa kuwataja watani zao kuwa wamemroga “Makolo wameniroga, ila sifi kizembe”

Kabla ya kuanza kuongea kwenye mkutano huo na waandishi wa habari, Manara alidai kuwa hayupo sawa kiafya kutokana na mafua yaliyosababishwa na hali ya hewa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents