HabariSiasa

#LIVE: Mkoa uko shwari, nikisema shwari ikiwemo ‘Panya Road’ – RC Amos Makalla (+Video)

”Mkoa uko salama na shwari na watu wanaendelea na shughuli zao. Nikisema shwari makofi haya wanajua kwamba ikiwemo ‘Panya Road’.”- Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla alipomkaribisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund – EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC – Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents