HabariMichezo

#LIVE: Nimeadhiniwa na masharifu wa Yemen, wakanishika sikio (+Video)

”Nilivyozaliwa walikuja masharifu wa Yemen, wakashika sikio hili wakaadhini. Walitaka wanicheke nihadhirike nimekuja Yanga SC, huku mimi natamba navimba. Ghalib anashida na umaarufu, Dkt Mshindo Msola hana shida na umaarufu, mimi sijazoea kuwa kwenye timu isiyochukuwa Ubingwa.”- Msemaji wa Yanga, Haji Manara akitamba baada ya kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu.

Manara ameongeza ”Mimi wazazi wangu walinitemea mate, waja wa stara, wazee wa Yanga waliniombea dua. Waliniuliza Haji anacheza namba ngapi ?, nacheza namba 28, kila wiki nitafanya press.”

 

Related Articles

Back to top button