AwardsMichezoVideos

LIVE: Nina uhakika asilimia 100 kesho tutacheza mchezo bora- Pablo (+Video)

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba SC wamesema kuwa wapo tayari kwa vita dhidi ya RS Berkane hapo kesho Machi 13, 2022 siku ya Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

Kocha Pablo Franco amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo, wanatambua umuhimu wake ila kwakuwa wapo katika uwanja wa nyumbani watapata matokeo.

“Nina uhakika asilimia 100 kesho tutacheza mchezo bora.”- Kocha Pablo akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho dhidi ya RS Berkane.

Kuangalia video bofya Hapa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents