Siasa
#LIVE: Rais Samia akipokea Tuzo ya Babacar Ndiaye (2022), Accra-Ghana (+Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya Babacar Ndiaye (2022) katika Mkutano wa AfDB Accra, Ghana leo tarehe 25 Mei, 2022.
Kuangalia video bofya HAPA