Habari
LIVE: Rais Samia akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Chamwino (+Video)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwaapisha Viongozi Wateule wafuatao
1. Mhe. Jaji Zainab Goronya Muruke, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa
2. Mhe. Jaji Leila Edith Mgonya,kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa
3. Mhe.Jaji Amour Said Khamis, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa
4. Mhe. Jaji Dkt. Benhaji Shaaban Masoud, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa
5. Mhe. Jaji Gerson John Mdemu, Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa
6. Mhe.Jaji Agnes Zephania Mgeyekwa, kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa B. MWENYEKITI WA BARAZA LA MAADILI
7. Mhe. Jaji (MST) Rose Aggrey Teemba, Kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili. Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 23 Mei, 2023